Pages

Jumatano, Machi 20, 2013

HONGERA SANA NANCY SUMARI KWA KUTOA KITABU KINACHOITWA NYOTA YAKO

Picha hizi kutoka katika website ya Nancy mamazuri.com

Kitabu cha Nyota Yako kinasimulia hadithi za wanawake tofauti katika jamii yetu, wanao  onyesha jitihada na mafanikio kwenye nafasi zao, Nyota yako inamuhamasisha binti mdogo aote ndoto kubwa na athubutu kuzitimiza.

Nancy Sumari akiwa na ma miss waliotangulia Jacline Ntuyabaliwe Kushoto pamoja na Faraja Kota.

Maoni 2 :

emu-three alisema ...

Nawapa hongera sana wapiganaji hawa....

emu-three alisema ...

HONGERA SANA Nancy

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom