Pages

Alhamisi, Aprili 04, 2013

INAPENDEZA SANA MWANAUME KUWA MTANASHATI, NIMEZIPENDA SANA HIZI PICHA DULLAH SPARTAN KATIKA MAPOZI TOFAUTI

GOOD

NICE ONE

GOOD GOOD

PENDEZA SANA

COOL

NI VYEMA KUWA SMART WAKATI WOTE 

Maoni 5 :

emu-three alisema ...

Ni kweli ni vyema, kuwa mtanashati, sio lazima kwenye suti tu, hata ukiwa na `shuka' lakini unaweza ukalivaa kiasi kwamba umetokelezea au sio

Bila jina alisema ...

Daaah jamaa kapendeza sana big up Dullah

Bila jina alisema ...

fresh sana

Bila jina alisema ...

Ni kweli kuwa smart na mtanashati inapendeza ni kujipanga tu uyo mkaka kapendeza ni model au?

Bila jina alisema ...

Umependeza sana Dullah

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom