Pages

Jumatatu, Aprili 22, 2013

KUHUSU MUENDELEZO WA SIMULIZI YA MAHABATI ...TAMU NA CHUNGU YA PENZI.......WADAU WA SIMULIZI

Nimepokea simu nyingi nikiulizwa simulizi ya TAMU NA CHUNGU YA PENZI  inaendelea lini.Kutokana na matatizo kidogo hivyo nilishindwa kuwawekea muendelezo ila kila kitu kipo sawa kwa sasa na sehemu ya mwisho ya simulizi hii utapata kuisikia siku ya jumatano kupitia hapahapa kijiweni kwetu tuendelee kuwa pamoja ili uweze kufahamu nini kilimsibu NIKITA.

Maoni 3 :

Bila jina alisema ...

WOW!!! NOW YOU ARE TALKING....mimi mdau wako yani najianda na porpcorn kwa raha ya MAHABAT...Mungu akuzidishie uzuri maana u're already beautiful.thanks baby we Love MAHABAT

Bila jina alisema ...

WOW!!! NOW YOU ARE TALKING....mimi mdau wako yani najianda na porpcorn kwa raha ya MAHABAT...Mungu akuzidishie uzuri maana u're already beautiful.thanks baby we Love MAHABAT

Adela Dally Kavishe alisema ...

pamoja sana mdau

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom