Pages

Jumapili, Aprili 21, 2013

JUMAPILI YA LEO TUSIKILIZE WIMBO HUU JIPE MOYO UTAYASHINDA

HAKUNA LINALOSHINDIKANA KWA MUNGU JIPE MOYO, NAMSHIRIKISHE KATIKA KILA JAMBO KUWA NA IMANI IPO SIKU UTAFURAHI KWANI YEYE PEKEE NDIYE ANAWEZA KUKUONYEHSA NJIA. KUFANYA KAZI KWA BIDII BILA KUMSHIRIKISHA MUNGU NI BURE. TUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom