Ijumaa, Mei 17, 2013

KUWA MAKINI KATIKA ULAJI WA VYAKULA. NI MUHIMU KUISHI MAISHA MAZURI NA YENYE AFYA BORA

kwa kiasi kikubwa chakula kinachukua sehemu kubwa ya maisha ya binadamu. Hivyo ni vyema kuwa na mpangilio mzuri wa vyakula kwani chakula kinapotumika vibaya kinaleta athari kubwa sana kiafya na hata kifo.. Ili kuepukana na atahari hizo ni vyema kula chakula kizuri kama mbogamboga,mihogo pamoja na jamii ya maharagwe na matunda kwa wingi epuka kula vyakula vyenye mafuta kwa wingi.

Kuna uwezekano wa kupata maradhi kama saratani ya utumbo mkubwa, vidonda vya tumbo, shinikizo la damu, kisukari matatizo ya moyo nk. kutokana  na kutokuwa na mpangilio mzuri wa vyakula .Sababu kubwa ya matokeo hayo ni kutokufanya kazi vizuri kwa mfumo mzima wa usagaji wa chakula . NI VYEMA KUWA MAKINI NA VYAKULA TUNAVYOKULA KILA SIKU. mfano chipsi usiwe ndiyo mlo wako mkubwa, piza nk.Unaweza kuepukana na matatizo haya kwa kupata ushauri wa daktari pamoja na kutumia bidhaa za Edmark 
DAWA HII INASAIDIA KUTOA  MAFUTA YASIYOHITAJIKA MWILINI NA KURUDISHA CHEMBECHEMBE  HAI. NI NZURI SANA KWA WATU WENYE MAGONJWA YA KISUKARI,FIGO, MOYO PAMOJA NA SHINIKIZO LA DAMU.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom