Pages

Jumatano, Mei 15, 2013

sikiliza sehemu ya kwanza ya simulizi hii tamu ....HAKUNA SIRI............ NI SIMULIZI YA KUSISIMUA ILIYOBEBA SIRI NZITO YA MAMA LONAMaoni 5 :

emu-three alisema ...

Mhh, kweli hakuna siri, ni tamu kweli kweli...tupo pamoja

Bila jina alisema ...

hongera Adela fanya mpango basi simulizi iendelee haraka natamani sana kuijua hiyo siri

Bila jina alisema ...

inasikitisha kuna watu wanafanyiwa ukatili inauma sana

Bila jina alisema ...

ama kweli tamaa ni mbaya jamani angalia sasa wazazi walimuacha mtoto kateseka baadaye ndiyo wanaomba msamaha Adela hongera kwa simulizi zako nzuri nasubiria nini kitaendelea

Adela Dally Kavishe alisema ...

Asanteni sana wadau tuko pamoja

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom