Pages

Alhamisi, Juni 13, 2013

KUELEKEA SIKUKUU YA MTOTO WA AFRICA NI VYEMA KUZINGATIA MANENO YA RAISI WA ZAMANI WA AFRICA KUSINI NELSON MANDELA

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, amesema kuwa amefahamishwa na madaktari wanaomtibu Mzee Mandela  kuwa, hali ya Mzee Mandela ambaye anaendelea kupokea matibabu katika hospitali moja mjini Pretoria imeimarika.
Siku ya Jumanne Rais Zuma, alisema kuwa nchi yote inazidi kumwombea Mzee Nelson Mandela ili apate ahueni haraka.


Watoto wote wana haki sawa haijalishi dini,kabila, rangi nk.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom