Pages

Alhamisi, Juni 13, 2013

REST IN PEACE LANGA

Huyu ni mmoja wa matunda ya shindano la muziki la Coca-Cola Pop Stars mwaka 2004 ambalo washindi wake waliounda kundi la Wakilisha. Langa amefariki baada ya kuugua Malaria kali sana iliyopelekea kukimbizwa hospitali ya Taifa Muhimbili na kusababisha kifo chake siku ya leo..

KUNDI LA WAKILISHA  KUTOKA KUSHOTO SARA KAISI, LANGA NA WITNES, KUNDI LILISAMBARATIKA NA KILA MMOJA ALIKUWA AKIFANYA KAZI KIVYAKE.LANGA .MUNGU AIPUMZISHE


Maoni 1 :

emu-three alisema ...

R.I.P Langa

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom