Pages

Alhamisi, Juni 20, 2013

SIMULIZI YA MAMA MDOGO.. AMBAYO IPO KATIKA KITABU CHA MALIPO NI HAPAHAPA. SASA UNAWEZA KUTUMIWA KITABU POPOTE ULIPO

Nimepigiwa simu nyingi sana kutoka kwa wadau wa simulizi pamoja nakupata email nyingi kwa  wale ambao hawakupata  kitabu cha MALIPO NI HAPAHAPA. Ambacho kina simulizi ya MAMA MDOGO na simulizi nyingine. Wadau kitabu hiki kilikuwa  kimeisha kwa mawakala. Lakini nimeongeza vichache ili niweze kukutumia  popote ulipo WAHI SASA KWANI NIME PRINT VICHACHE KWA MARA YA PILI.


GHARAMA YA KITABU KINAUZWA :SH 5000 TU 
GHARAMA YA KUTUMA : Inategemea unataka utumiwe kwa njia gani kama ni  kwa njia ya Mabasi ya mikoani au kwa njia ya posta kuhusu gharana ya kutuma inabidi uchangie ndugu yangu ili uweze kutumiwa popote ulipo.
 Kwa  wale ambao mpo Dar es salaam tuwasiliane utaletewa  maeneo ulipo

MAWASILIANO.....+255752817444
AU NITUMIE EMAIL kavisheadela@yahoo.com

TUENDELEE KUWA PAMOJA KUPATA UHONDO WA SIMULIZI ZA KUSISIMUA

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom