Pages

Jumatano, Julai 24, 2013

MANENO MAZURI KWA UMPENDAYE

Thamani ya mapenzi yako ni kubwa kwangu.Haifanani na chochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru hasa wangu Mungu. Kwa kunijaalia mpenzi mwema unayejali hisia zangu.USICHOKE KUNIPENDA MPENZI WEWE NI FURAHA YA MAISHA YANGU.
 ***********************************
Nipende nikupende tudumishe mapenzi, kwani dhamira ya moyo wangu ni kukupenda  kwa dhati bila kipingamizi.Nakupenda sana ningependa kuishi na wewe kihalali kwa kudra za wazazi na Mwenyezi Mungu.
**********************************Ama kweli wewe ni mtaalamu, unayejua kutumia yako kalamu, kila nikuonapo hupata hamu, fahamu kuwa wewe ndiyo wangu mtaalamu. Nakupenda sana.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom