Pages

Jumapili, Julai 07, 2013

SIKILIZA UJUMBE WA LEO,,ANAWEZA KUWA AMEKUTENDEA JAMBO BAYA,,,LAKINI NI BUSARA USILIPIZE KISASI.


Maoni 3 :

Bila jina alisema ...

dada kavishe Mungu akulinde sana na ubarikiwe uendelee kuwaaelimisha watu yaani maneno yako yana hekima na busara sanaabarikiwe huyo mzazi wabarikiwe hao wazazi wako walikupa malezi mazuri ya hekima yaani nakuadimaya sana dada endelea hivyo hivyo big it up God bless you

Adela Dally Kavishe alisema ...

Asante sana ndugu yangu tuendelee kuwa pamoja

Amor alisema ...

Ninapenda sauti yako...hivi wewe ni mtangazaji wa redio au tv? Kazana mama na Mungu akupe nguvu.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom