Pages

Jumanne, Julai 30, 2013

UJUMBE WA LEO "UGUMU WA MAISHA, KIPIMO CHA AKILI"

Kupambana katika maisha ndiyo mpango mzima. Ijapokuwa inaweza kufikia kipindi mtu ukakata tamaa kutokana na ugumu wa maisha. LAKINI USICHOKE ENDELEA KUPAMBANA HADI KIELEWEKE, UGUMU WA MAISHA NI KIPIMO CHA AKILI. JARIBU KUTHUBUTU ILI UWEZE KUFIKIA MALENGO YAKO.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Dada ututendei hki ktk upnde wa hadithi!asante kwa ujumbe.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom