Pages

Alhamisi, Agosti 01, 2013

KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI NA YALIYOKUWA NJE YA UWEZO SIMULIZI YA BADO MIMI NA KOSA LANGU NI LIPI ZILISIMAMA KWA MUDA

Kwanza ningependa kuwashukuru sana wadau wa uwanja huu kwa kuendelea kuwa pamoja nami, kuna matatizo nilipata ya kiufundi katika computer ambayo huwa naandika simulizi, lakini nashukuru Mungu fundi analifanyia kazi na kila kitu kitaenda sawa ASANTENI SANA TUENDELEE KUWA PAMOJA

Maoni 3 :

Bila jina alisema ...

Pole mna wengne htukauki kupita kuchk kma imepostiwa

Bila jina alisema ...

Adella, Kumbe wewe ni mzuri sana tena sana ukiwa katika mkao wa nywele zako halisia kihivyo.You are so cute mama!1 Yaani jamani natural hair yako iko bomba sana.Nimekupedjeeeee.Please keep it up baby.

Adela Dally Kavishe alisema ...

tuko pamoja sana wadau asanteni sana

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom