Pages

Jumatatu, Agosti 19, 2013

USIKUBALI KITU CHOCHOTE KIPOTEZE FURAHA YA FAMILIA YAKO.

Familia iliyojaa upendo na amani ni   familia inayodumu milele na kuwa imara sikuzote, katika maisha kuna changamoto nyingi sana za hapa na pale nyingine zinaweza kuwa kikwazo katika kuleta furaha katika familia yako. lakini unaambiwa ni vyema kusimama imara huku ukimshirikisha Mungu, na kuwa katika furaha na familia yako siku zote za maisha yenu. USIKATE TAMAA, KUMBUKA UVUMILIVU NI NGUZO MUHIMU KATIKA SAFARI YA MAISHA. FURAHA YA FAMILIA YAKO NI KILA KITU KATIKA MAISHA YAKO.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom