Pages

Jumanne, Septemba 17, 2013

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WAMILIKI WA BLOG (BLOGGERS) TANZANIA

SHAMIM MWASHA  NA CAMERA YAKE  KIKAZI ZAIDI
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania akiwasilisha mada, juu ya ukubwa wa sekta ya mawasiliano hapa nchini.
sintah wa sintah.com

KAJUNA NA BLOGGERS WENGINE WAKATI WA WARSHA HIYO  YA SIKU MBILI

Meneja wa Mamlaka ya  Mawasiliano Tanzania akifafanua jambo wakati wa warsha hiyo ya siku mbili iliyoanza leo na kumalizika kesho kwenye ukumbi wa Mikutano wa  Makao Makuu ya Mamlaka ya  Mawasiliano Tanzania uliopo eneo la sinza B Jijini Dar es salaam

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom