Pages

Jumanne, Septemba 17, 2013

TAARIFA KUHUSU MUENDELEZO WA SIMULIZI YA BADO MIMI NA KOSA LANGU NI LIPI PAMOJA NA SIMULIZI YA MAMA MDOGO

SASA HIVI KILA KITU NIMEWEKA SAWA,  KWAHIYO UTAENDELEA KUSOMA SIMULIZI HIZI KUPITIA HAPA NA USIKOSE KITABU HIKI AMBACHO KITAKUJIJIA  HAPO BAADAYE.

PIA WALE WALIOKUWA WANATAMANI KUSOMA SIMULIZI KUTOKA KATIKA KITABU CHA MALIPO NI HAPAHAPA USIKOSE KUPITIA HAPA

MAMBO YOTE YANAANZA RASMI WIKI IJAYO UNAWEZA KUTOA MAONI YAKO SIMULIZI IPI UNGEPENDA IANZE

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

bdo mimi tafadhali

Bila jina alisema ...

Daaaah! nitafurahi xana dada yangu! 2letee vitu hivyo maana 2mevimiss kitambo!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom