Pages

Alhamisi, Septemba 19, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA WAMILIKI WA MITANDAO YA KIJAMII BAADA YA KUMALIZIKA KWA WARSHA YA SIKU MBILI ILIYOANDALIWA NA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)

ADELA KAVISHE NIKIWA MAKINI


MMMH FURAHA SANA

JESTINA GEORGE AND I
BLOGGERS
FEMALE BLOGGERS

Mhadhili wa maswala ya Habari kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam, Ndg Doto Kuhenga akiwasilisha mada yake kuhusu mwenendo wa utaalamu  unaopaswa kufuatwa  na waendeshaji wa mitandao ya kijamii pindi wafikishapo habari kwa jamii

Mkurugenzi wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof.John Nkoma akizungumza jambo wakati wa kufunga warsha ya siku mbili kwa waendeshaji wa mitandao ya kijamii (Bloggers)  iliyofasnyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) maeneo ya Sinza B jijini Dar es salaam .

Washiriki wote walipewa vyeti baada ya kumalizika kwa warsha hiyo.


Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iNOcent Mungy akielezea jambo wakati wa warsha hiyo.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tech Wark, Liz akitoa mada yake katika warsha hiyo.
Shukrani sana kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kwa kufahamu umuhimu wa mitandao ya kijamii. Bloggers tuliokuwepo katika warsha hiyo ni wachache naweza kusema tumewakilisha wale wote ambao hamkuwepo.Ila wote kwa pamoja naimani tutafanya kazi nzuri na kwa ushirikiano.


Maoni 2 :

emu-three alisema ...

Twashukuru mlituwakilisha inatosha

Bila jina alisema ...

Adela, mimi ni mwanaume, kiukweli nimependa sana mwonekano wa nywele zako yaani hivyo ulivyo kichwani nimezimia kabisaaaaa.Nimependa sana mwonekano huo.Ningekuwa mume/mpenzio aka nisingekuruhusu ufanye tofauti na hivyo.uko safiiiiiii na unapendeza na kuvutia sana.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom