Pages

Jumatatu, Septemba 16, 2013

UJUMBE WANGU WA LEO SIYO KILA JAMBO UNAWEZA KUJITETEA WAKATI MWINGINE INAKUBIDI KUNYAMAZA KIMYA.

Maisha yana changamoto nyingi sana inawezekana unakutana na vikwazo vya hapa na pale lakini bado unasonga mbele,wahenga wanasema ni bora kukaa kimya kuliko kujibizana kwani kwa kufanya hivyo unaweza kuonekana na wewe pia ni mjinga.  WADAU TUENDELEE KUWA PAMOJA NILIKUWA KWENYE MATATIZO KIDOGO LAKINI NAMSHUKURU MUNGU SASA MAMBO YATAENDELEA VIZURI KAMA KAWAIDA 

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

Nimependa nywele zako na umependeza hebu nisaidie je umepaka dawa ya aina gani na mafuta yapi? nami nanyoa nataka nipendeze km wewe

Bila jina alisema ...

POLE SANA DADA YANGU KWA MATATIZO YALIYOKUPATA. MUNGU AKUJALIE UYASHINDE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom