Pages

Jumatatu, Septemba 16, 2013

UKITIZAMA PICHA HII YA KINA MAMA WAJAWAZITO UNAWEZA KUJIULIZA NA KUTAFAKARI .

Matatizo haya yapo katika baadhi ya vituo vya afya kina mama wakiwa  wamelundikana sehemu moja, na hii inawagusa zaidi watu wanaoishikatika mazingira magumu ambapo ni asilimia kubwa zaidi. JAMANI SERIKALI MLITIZAME HILI KWA MAPANA ZAIDI KWANI HALI BADO  SI NZURI. KATIKA  BAADHI YA VITUO VYA AFYA.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

haya si ndo maisha bora kwa kila mtanzania?wananchi wa tz wenyewe wanaweza kulitatua tatizo hili lakini wanaonekana hawajawa tayari kwa mabadiliko.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom