Pages

Jumapili, Septemba 22, 2013

UKIWA UNAWEKA DAWA YA EASY WAVES KWA NYWELE FUPI HAYA NI MAFUTA MAZURI KWA MUONEKANO MZURI WA NYWELE ZAKO

 Baada ya kuosha nywele zako vizuri, kwanza inakubidi upake pink lotion ili zibaki kuwa laini na baada ya kukauka vizuri basi unachukua mafuta ya nywele  ya mgando yoyote ambayo ungependelea kupaka, kabla ya kupaka hii gel activator.

Ukishapaka kiasi kidogo cha mafuta basi unachukua Sofnfree yako unapakaa vizuri kabisa hadi inakolea nywele zinakuwa katika mwonekano mzuri zaidi binafsi  mimi ndivyo ninavyofanya. jambo la muhimu hakikisha unapakaa pink lotion na mafuta mengine ya nywele ya kawaida unayotumia kwa kiasi kidogo halafu ndiyo unamalizia na hii gel activator.

NA NYWELE ZAKO ZINAKUWA NA AFYA NA KUPENDEZA WAKATI WOTE.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Adela mm penda sana wewe u luk good

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom