Alhamisi, Oktoba 31, 2013

BRANDY SASA KUTOKA NA ALBUM YA NYIMBO ZA INJILI


Muimbaji nyota wa R&B Brandy, ambaye hivi karibuni amesherekea miaka ishirini ya kuwa katika gemu la muziki sasa anafikiria kutoa album ya nyimbo za injili. Watu wengi wanatamani  kumsikia katika upande huo.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom