Ni wakati wa kutafakari yale yaliyotokea katika maisha yako mwaka huu, kumshukuru Mungu, kwakuwa hapo ulipo hivi sasa, kufurahi pamoja na familia yako kurekebisha pale ulipokosea, kuomba msamaha ndugu jamaa na marafiki uliowakosea kwa mwaka huu, ili utakapouanza mwaka 2014, muendelee kuishi kwa amani na upendo.Vile vile unaambiwa hakuna kukata tamaa, hata kama malengo yako hayakutimia kwa mwaka huu basi, piga moyo konde, mwaka 2014, juhudi zaidi, na malengo yatatimia. TUUKARIBISHE MWAKA 2014 KWA AMANI NA UPENDO. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni