Jumatatu, Januari 20, 2014

NI BORA KUAMBIWA UKWELI, KULIKO KUDANGANYWA

Ukweli unaweza kukumiza lakini,  kwa kusema uongo unaweza kuumia milele,Ni wazi kuwa watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli, na wakati mwingi baadhi ya watu husema uongo huku wakifikiri kufanya hivyo ni kujipa matumaini katika jambo fulani, lakini ukikaa na kufikiria uanaposema uongo au unapokataa ukweli ujue unajidanganya mwenyewe na siku zote utabaki kuwa na maumivu moyoni mwako kutokana na kuishi na uongo ndani ya moyo wako.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom