Wasichana wa siku hizi wajanja sana,wanajua ku- point ukweni hali ilivyo =)) unaweza kukaa nae kama wapenzi hata miaka 20 ila ndoa hataki coz ashajua ukoo wenu sio anaoutaka :]xx anakulia Timing akutafutie kosa akumwage:& ....Anakuuliza babako anafanya nini unamjibu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa hivi amejiairi ni Mkulima wa Mananasi:> .,anajua kimenuka hajalipwa mafao=]min ...Na mamako Je...Unamjibu Mwalimu,anajua atalishwa chaki tu maana hali za Walimu twazijua/:) . Wanaogopa siku ya harusi muda wa zawadi Baba mkwe anakupa zawadi ya Minazi ya shamba lake la Kibaigwa eti Kilimo ndo uti wako wa mgongo,thubutuuu>:/ na Mama mkwe na walimu wenzie wanakuja wanajirusha-rusha meno nje wamejitwisha Cherehani na godoro la Banco=D ..Sistaduu gani anataka kuwa Mkulima au Fundi Cherehani kizazi hiki?? Ukiona umekataliwa ndoa ujue kuna mengi,utasikia mi bado sijajipanga kumbe mdada anakwepa Wakwe na zawadi loko loko kwenye harusi,atauzaje sura kwa Mashosti na Cherehani,unataka achekwe kwenye DP za Blackberry???...Wenzio Wanaota Funguo za Vitz kutoka kwa Baba Mkwe...Cheque ya Milioni 15 kutoka Kamati ya Maandalizi...Washing Machines....Wakaka, ukiona dada anakuuliza Wazazi wako wanafanya kazi gani waza mara 2 kabla hujajibu,tena bora ujibu Babako Balozi wa China na Mama ni Afisa Uajiri Wizara ya Kazi na Maendeleo ya Vijana#:-s utamsikia 'Baby when is our wedding I cant wait to be ur baby mama:/ ' |
Maoni 3 :
Ncheke nnenepe
Ncheke nnenepe mie!!
Nani hasiyependa mambo mazuri. Ndoa ndo mdudu gani!!
Chapisha Maoni