Jumanne, Januari 28, 2014

UJUMBE WA LEO, SIKU ZOTE SIMAMIA KILE UNACHOAMINI UNAWEZA KUKIFANYA"

Maisha yanachangamoto nyingi sana, lakini katika safari ya maisha kila mtu ana malengo na kipaji cha kutaka kufanya jambo fulani. Unaambiwa usikate tamaa hata kama upo peke yako siku zote fikiria kufanikiwa na kukamilisha ndoto yako na kuwa na imani utafanikiwa.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom