Pages

Jumapili, Mei 04, 2014

EMMY ANAISHI KWA MATUMAINI, ANATAFUTA MCHUMBA....

Mambo Adela?.Naomba unisaidie nami uniwekee post yangu,mimi naitwa Emmy kwa bahati mbaya naishi kwa matumaini,nimeamua kuikubali hali yangu lkn natamani sana kupata mtu  atayekuwa na hali kama yangu,Mimi nina miaka 30,nimeamua kuikubali hali yangu na kwa sasa nipo chuo fulani nasoma degree,nina mwonekano mzuri na huwezi jua kama nina tatizo labda mpaka nikwambie.

Natafuta mkaka mwenye miaka 30-40, awe anajipenda, amejikubali,mkiristo,akiwa Dar itakuwa vizuri zaidi na asiwe na mke.N:B WANITAFUTE WALIO SERIOUS NA VIGEZO VIZINGATIWE.my email memmy502@gmail.com  

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom