Jumatatu, Mei 26, 2014

NYUMBA INAUZWA WAHI SASA

 Ipo kibamba shule  maeneo ya Hondogo, Ina vyumba viwili vya kulala, pomoja na master bed room moja, jiko dining, public toilet na uwanja mkubwa uliobakia

 Inauzwa shilingi milioni 70 za Kitanzania, pia unaweza kuwasiliana kwa namba hizi kwa maelewano zaidi 0718617070 au 0688336043




Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom