Pages

Jumatatu, Mei 26, 2014

"Wapo waigizaji wachache walio na tabia mbaya ila siyo wote".Yobnesh Yusuph maarufu jina Batuli

“Jamani msichanganye watu wote,kuna ambao wana maadili  na wanachukulia  uigizaji kazi kama kazi nyingine , kusema waigizaji wote siyo mfano wa kuigwa kwa jamiii ni kuwakosea au kutukosea, ni muhimu wazazi wakawafundisha tabia nzuri watoto wao na kuwaandaa kuwa maarufu kabla ya kuwaruhusu kuingia kwenye tasnia ya filamu" NENO LA LEO NA MWIGIZAJI BATULI

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom