Pages

Ijumaa, Mei 23, 2014

UJUMBE WA LEO KWA WALIOCHEPUKA NA KUPATA WATOTO NJE YA NDOA

"Wazazi wote waliochepuka na kupata watoto nje ya ndoa wanatakiwa waache tabia ya kuwatelekeza watoto wao, ni vyema wakaangalia namna nzuri ya kutoa matunzo kwa watoto hao, ili kuondoa uwezekano wa watoto hao kukumbana na mateso, ambayo hawayastahili na hawakupaswa kuyapata kwa vile hawahusiki kila mtoto ana haki ya kupata haki zake za msingi awe ni wa ndani ya ndoa au nje ya ndoa."

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom