Mapenzi yanachangamoto nyingi sana usipokuwa makini unaweza kujikuta katika wakati mgumu sana inawezekana kile unachokipenda si sahihi kwako, au siyo kile ambacho Mungu amekupangia na dalili zote unaziona lakini ukaendelea kushikilia hivyohivyo. Wataalamu wanasema ni bora kuacha kuliko kuishi katika maisha ya majuto sikuzote za maisha yako.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni