Pages

Ijumaa, Julai 04, 2014

NENO LA LEO KUTOKA KWA MHESHIWA JANUARY MAKAMBA


“Ni wakati wa fikra mpya kushika dola na mimi ninaona kwamba wazee wakae kando. Mfano awamu moja inapoondoka na wazee walioko katika mfumo wakae kando ili kupisha fikra mpya kuongoza dola,” amesema Makamba ambaye ana umri wa miaka 40.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Tanzania ina changamoto nyingi moja wapo kubwa ni rushwa na Raisi aliyeko madarakani ameshindwa kudhibiti Hilo.watu wanachezea hela za serikali na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa v/s Hao Watu.raisi ajaye itabidi atengeneze mazingira ya kuwa no body above the law. Ukifanya madudu utashitakiwa na Mali yako kutaifishwa. Hapo kutakuwa na heshima katika kulijenga taifa.
Mdau
Njau,Australia

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom