Pages

Jumatano, Agosti 13, 2014

NUKUU YA LEO YA HAYATI MWALIMU JULIUS NYERERE


"Elimu inatakiwa kuwaandaa vijana wetu kusiriki kikamilifu katika ujenzi wa taifa , mabadiliko ya maendeleo yanapimwa kwa kuzingatia ubora wa maisha ya mtu na siyo majengo ya kifahari , magari au vitu vingine vya aina hiyo"

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom