Pages

Jumatano, Agosti 06, 2014

"Ujumbe wa leo "Unaweza kuwa hauna furaha katika maisha lakini wapo ambao wanafurahi kwasababu wewe upo"

Katika maisha unaweza kumkuta mtu hana furaha kutokana na changamoto za maisha anazopitia, lakini kwa wakati huo huo kuna watu ambao wapo na wanafuraha kwasababu wewe umekuwa sababu ya furaha waliyonayo kwamfano  familia yako inayokutegemea, watoto wako ambao hufurahi na kucheza wakati wote kutokana na kula vizuri, na kulala vizuri huku wakipata mapenzi ya Baba na Mama, ni jambo la kumshukuru Mungu kama kuna watu wanapata faraja au furaha kwasababu yako hata kama wewe hauna furaha. NA ADELA D. KAVISHE

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Da Adella plzz tuwekee kisa cha Nadia.
Much love from Paris.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom