Pages

Jumatano, Septemba 03, 2014

MANENO MAZURI KWA WAPENDANAO

"Faraja yangu ni wewe,ninapokuwa sina furaha unanipa furaha, ninapokosea unanielekeza, napata kila kitu kutoka kwako nakupenda sana lazizi wa moyo wangu."

"Safari yetu ya mapenzi tumetoka mbali sana, na tunapoelekea pia bado ni mbali sana, sintochoka kukupenda, mapenzi yetu yadumu milele mpaka kifo kitakapo tutenganisha"

"Nakupenda, na wewe unanipenda ndiyo maana tunaisha maisha yenye furaha na yaliyojaa upendo, tupendane milele siku zote za maisha yetu."

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom