Pages

Jumapili, Oktoba 12, 2014

MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO

Nikiwa na mdogo wangu Rene Kavishe
Wadau, nawashukuru kwa kuwa pamoja, lakini pia kutokana na matatizo, nlishindwa kuwawekea simulizi na mada mbalimbali kwa muda, Matatizo ni sehemu ya maisha hivyo nilishindwa kupata muda wa kuwawekea simulizi kutokana na msiba wa Baba yangu mdogo huko Moshi. Nashukuru Mungu kwa kila jambo tuendelee kuwa pamoja.

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

Pole sana kwa kufiwa mpendwa

Adela Kavishe alisema ...

asante sana my dear tuko pamoja

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom