Pages

Jumamosi, Oktoba 25, 2014

UJUMBE WA LEO "JIPENDE KABLA HAUJAPENDWA"

Unajipenda mwenyewe kabla hujapendwa ili atakayekupenda naye ajue kuwa wewe unajipenda, ni vyema kujikubali na kujiamini kuwa unahitaji furaha na siyo mateso sikuzote kuwa jasiri, vya kutosha kuachana na kile ambacho kina kuletea maumivu ama mateso katika maisha yako onyesha kuwa unajipenda na kujitambua.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

adela umruka sehemu ya 19 dada,hongera sana simulizi nzuri sana ila inachelewa sana kutoka

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom