Pages

Ijumaa, Desemba 19, 2014

UJUMBE WA LEO "ANAYEKUPENDA SIKUZOTE ATATHAMINI UMUHUMU WAKO"

Katika maisha siku zote anayekupenda na kukuthamini, ataonyesha kwa vitendo na siyo maneno, na atakujali na kukuthamini kama vile wewe unavyoonyesha upendo kwake na siku zote usitarajie kupendwa na mtu ambaye hata wewe unashindwa kumthamini na kumjali, siku zote kila jambo linategemeana unaambiwa nipende nikupende, usiponipenda hata mimi nitachoka kukupenda. mthamini anayekujali,na mpende akupendaye.na Adela D.kavishe

Asanteni kwa kuendelea kuwa pamoja wadau wa simulizi na mada mbali mbali, nawapenda sana.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom