Pages

Jumamosi, Februari 07, 2015

HII NI KWA WALE WANAOPENDA KUSIKILIZA SIMULIZI ZA KUSISIMUA, VICHEKESHO NK.

Je wewe ni mpenzi wa kusikiliza simulizi za kusisimua ama mikasa mbalimbali, vichekesho, nk sasa DELLA MEDIA PRODUCTION inakukaribisha kujiunga na group la Della Media Simulizi kupitia WHATS APP MESSENGER na upate kusikiliza mambo yote hayo nawakaribisha sana kama unapenda unaweza kunitumia namba yako ili nikuweke kwenye group.VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.

Maoni 2 :

Godson Robert official blog alisema ...

Napenda sana simulizi zako dada Adela pia elimu unayotupatia kupitia simulizi zako zinatujenga kifikra zaidi na kutupa moyo kutokata tamaa. I'm proud of you my dear sister mungu aendelee kukupa maisha marefu na afya njema.

Godson Robert official blog alisema ...
Maoni haya yameondolewa na mwandishi.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom