Jumanne, Februari 03, 2015

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUTOLEWA BURE


NAFASI   ZA     MAFUNZO   YA    UJASIRIAMALI.
Taasisi  ya  RafikiElimu  FOUNDATION  kupitia  Mradi  wa  Elimu  Ya  Ujasiriamali  Mijini  &  Vijijini, inatangaza  nafasi  za  MAFUNZO  YA  UJASIRIAMALI.  Mafunzo  yatakayo  tolewa ni  pamoja  na  :
1.Jinsi  ya  kutengeneza  mashine  za  kutotolea  vifaranga  wa kuku.
2.Uanzishaji  na  undeshaji  wa  taasisi  zisizo  kuwa  za  kiserikali.
3. Jinsi ya kutengeneza aina sita za soda


4.   Jinsi ya kutengeneza bia  aina mbali mbali
5.   Jinsi ya kutengeneza vodka na pombe nyingine kali kwa vipimo
6.   Jinsi ya kutengeneza fruit wine ( wine ya matunda mbali mbali)
7.   Jinsi ya kutengeneza pipi, jojo (chewing gum), toffee n.k
8.   Jinsi ya kutengeneza yogurt, ice cream na cheese
9.   Jinsi ya kutengneneza tambi aina ya pasta.
10.   Jinsi ya kutengeneza sabuni za kuogea
11.   Jinsi ya kutengeneza scrub
12.   Jinsi ya kutengeneza lotion
13. Jinsi  ya  kutengeneza  manukato (perfumes) za  aina  mbalimbali.
14.  Jinsi ya kutengeneza mafuta ya kupaka
15.  Jinsi ya kutengeneza lip balm
16. Jinsi ya kutengeneza dawa mbalimbali za mimea zitokanazo na mimea tunayotumia kila siku
17.  Jinsi  ya  kutengeneza  vyakula  lishe  mbalimbali.
18.  Jinsi ya kutengeneza Sabuni za mche
19.  Jinsi ya kutengeneza Sabuni ya unga
20.  Jinsi ya kutengeneza Sabuni ya maji
21.  Jinsi ya kutengeneza Shampoo
22.  Jinsi ya kutengeneza Dawa ya usafi chooni
23. Jinsi ya kutengeneza Dawa ya kusafishia Tiles.
24.  Jinsi ya kutengeneza Mishumaa
25.  Jinsi ya kutengeneza Chaki
26.   Jinsi ya kutengeneza Tomato & Chilli Sauce
27.   Jinsi ya Kutengeneza Jam ya Nyanya na Nanasi
28.   Jinsi ya kutengeneza Biscuits
29.   Jinsi ya kutengeneza Mkate wa ndizi
30.   Usindikaji  wa  vyakula  mbalimbali.
31.  Jinsi  ya  kutengeneza  kiwi
32.  Jinsi  ya  kutengeneza  blue  band.
33. Usindikaji  wa  bidhaa  za  ngozi.
34.   Somo  la  masaji

35Ubunifu , uendeshaji  na  usimamizi  wa  miradi  mbalimbali.
36. Uendeshaji  na  Usimamizi  wa  vikundi  vya  kuweka  na  kukopa  fedha.
37.  Utengenezaji  wa  vyakula  vya  mifugo.
38.  Utunzaji  wa  wazee  na  watoto  wachanga.
39.  Kutunza  na  kulea  watoto  yatima.
40. Pamoja  na  vitu  vingine  vingi.

SIFA   ZA  MWOMBAJI :
1.   Awe kijana  wa  kitanzania
2.   Anaye  jua  kusoma  na  kuandika.
3.   Kwa  watakao  taka  kutosoma  kozi  namba  2, 35 na  36, mwombaji  lazima  awe  na  elimu  ya  kuanzia  kidato  cha  nne  na  kuendelea.
ADA    YA  MAFUNZO  :
Mafunzo  haya  yanatolewa  bure.
FOMU   ZA  KUJIUNGA  NA  MAFUNZO  :
Fomu  za  kujiunga  na  mafunzo  haya  zinapatikana  ofisini  kwetu  kwa  gharama  ya  SHILINGI  ELFU  KUMI  NA  TANO  TU  (Tshs.15,000/=)

OFISI  ZETU  zinapatikana  jijini  DAR  ES  SALAAM  katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU  mbele  ya  CHUO  KIKUU  CHA  DAR  ES  SALAAM.
JINSI  YA  KUFIKA  OFISINI  KWETU :
Kufika  ofisini  kwetu  panda  daladala  za  MAWASILIANO  TOWER -  CHANGANYIKENI  kisha  shuka  kituo  cha  TAKWIMU  halafu  tembea  hatua  ishirini  mbele  utaona  ofisi  imeandikwa  RAEFO  TANZANIA.
KWA  WAOMBAJI  WALIO  NJE  YA  MKOA  WA  DAR  ES  SALAAM.
Kwa  waombaji  waliopo  nje  ya  mkoa  wa  Dar Es  salaam, mafunzo  yatatolewa  kwa  njia  ya  posta.  Jinsi  ya  kuomba,andika  barua  pepe  ya  maombi  ya  fomu  ya  kujiunga  na  mafunzo  haya, nasi  tutakutumia  fomu  yenye  maelekezo  yote.
Maombi  yako  yaandikwe  kupitia  barua  pepe  yetu : rafikielimutanzania@gmail.com
Maombi   yaelekezwe  kwa  Mkurugenzi  Mtendaji, RafikiElimu  Foundation, S.L.P 35967, DAR  ES  SALAAM.
MWISHO  WA  KUPOKEA  MAOMBI  NI  TAREHE  28  FEBRUARI  2015.
MAFUNZO  YATAANZA   TAREHE  02  MACHI  2015.
Kwa  maelezo  zaidi, piga  simu  0688  049  687.
Au  tembelea

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom