Pages

Ijumaa, Januari 16, 2015

WADAU WA SIMULIZI RASMI NATAKA NIANZE KUWAWEKEA SIMULIZI ZA KUSISIMUA, SASA NATAKA KUJUA UNGEPENDA IPI IANZE KATI YA HIZI


 Simulizi hii ni mpya kabisa ambayo inagusia mambo mengi kuhusu watoto katika safari ya maisha yao  na mambo mbalimbali wanayopitia.

Simulizi hii ilianza mwaka jana sasa itakujia kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa wakati.
hii ni simulizi ya kusisimua na kusikitisha sana, inaelezea changamoto na mambo mbalimbali aliyopitia katika maisha, kijana Rony pamoja na familia yake.Nakaribisha maoni  nianze rasmi kuwawekea simulizi unaweza kuchagua na kupendekeza siku ya kusoma simulizi husika.

Maoni 3 :

Bila jina alisema ...

Hi,plz anza na nimepata njia

isaya alisema ...

Nimepata njia anza nayo adela

Bila jina alisema ...

Nimepata njia

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom