Pages

Ijumaa, Januari 16, 2015

Yawezekana kile unachokiona ni kigumu sana katika maisha kikawa ndiyo njia sahihi katika mafanikio yako

Siku zote usiogope ugumu wa maisha, kwani hata waswahili husema ugumu wa maisha ni kipimo cha akili, fanya juhudi pambana na changamoto kwani hakuna jambo rahisi hususani unapotafuta mafanikio siku zote kumbuka mvumilivu hula mbivu

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom