Pages

Jumapili, Machi 01, 2015

UJUMBE WA LEO "MAFANIKIO HULETA FURAHA KATIKA MAISHA NA FURAHA HULETA MAFANIKIO KATIKA MAISHA"

Kila mtu anapenda kuwa na furaha katika maisha, na sikuzote furaha huleta faraja na amani katika maisha yetu ya kilasiku, tudumishe upendo bila chuki, choyo ama ubinafsi ili kuwa na furaha katika maisha kumbuka usipende kumfanyia mtu jambo ambalo hata wewe mwenyewe usingependezwa nalo kama ungefanyiwa, wewe ukiwa na furaha na watu wanaokuzunguka wakiwa na furaha inapendeza sana.MAISHA MAZURI YANALETWA NA FURAHA.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom