Pages

Jumapili, Machi 01, 2015

SHEREHE YA TANZANIA BLOGGER NETWORK (TBN) YAFANA SANA SERENA HOTEL

UMOJA NI NGUVU HONGERA SANA KWA UONGOZI MZIMA WA TBN PAMOJA NA BLOGGERS WOTE.
Adela Kavishe na Mdau Faustine Ruta wa Bukoba wadau Blog  
 Mgeni rasmi katika Mnuso wa Bloggers ambae pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) akijadiliana jambo na Adela Kavishe Katikati ni Monica Joseph
MONICA AKITIZAMA JINA LAKE KWA UMAKINI
BLOGGERS WALIOSHIRIKI KATIKA TBN PARTY.
GADIOLA NA CHINGAONE
NDAFU ILIHUSIKA
MUONEKANO WA UKUMBI ULIVYOKUWA
Bloggers kutoka Arusha Pamela upande wa kushoto na Woinde upande wakulia pamoja na mwanachama mkongwe wa TBN kaka Omar Swai wakiwa na kiongozi wa TBN  Issa Michuzi na mke wake.PICHA ZOTE KWA HISANI YA LUKAZA BLOG NA MICHUZI

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom