Pages

Jumapili, Machi 01, 2015

REST IN PEACE JOHN KOMBA

John Damiano Komba alizaliwaMachi 18, 1954 (umri 60), alikuwa  mwanasiasa na Mbunge wa  Chama cha Mapinduzi Mbinga Magharibi tangu mwaka 2005 hadi  kifo chake 28thFeb 2015 Alifariki katika hospitali TMJ jijini Dar es Salaam. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi Amina.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom