Pages

Alhamisi, Machi 26, 2015

UJUMBE WA LEO "Ni muhimu kutafakari kabla ya kuzungumza"

Katika maisha ni vyema kuwa makini sana pale unapotaka kuzungumza jambo fulani, kwani wakati mwingine unaweza kuzungumza jambo ambalo litakusababishia matatizo katika maisha yako, ni vyema kutafakari kile unachokizungumza mahali popote unapokuwa, unaambiwa ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumza jambo ambalo hulijui, au ni vyema kuuliza kabla ya kuzungumza mbele ya kadamnasi kitu ambacho hauna uhakika nacho.Ni muhimu kuwa makini katika yale tunayozungumza kila siku kwa watu wanaotuzunguka.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom