Pages

Jumatatu, Juni 22, 2015

"Kuna vitu tunavipenda na vingine tunavichukia"

 
Siku zote ujasiri ni kuuponda uoga, Maishani kuna vitu tunavipenda na vingine tunavichukia , aidha kuna vitu tunaogopa kuvitenda, kuvitamka hata kuvifikiria, ujasiri  ni pale au wakati ule unapoyakabili yale unayoyaogopa, sikuzote fanya jambo bila uoga, ukiondoa uoga na kudiriki kutenda unaitwa jasiri.Ujumbe huu NA Balozi Christopher Liundi

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom