Pages

Jumapili, Juni 21, 2015

HAPPY FATHER'S DAY "BABA ANAYETAMBUA MAJUKUMU YAKE KATIKA FAMILIA ANASTAHILI PONGEZI WAKATI WOTE"

Mungu akuzidishie nguvu na baraka tele Baba yangu kipenzi Mzee Kavishe, wewe ni nguzo katika maisha yangu. Tangu nikiwa mtoto hadi sasa upendo wako ni wa kweli nashukuru Mungu kwa kuwa wewe ni  Baba yangu. Upendo wangu kwako siwezi kuufananisha na kitu chochote kile nakupenda Baba yangu Mungu akusimamie katika kila jambo. Nawatakia sikukuu njema akina Baba wote.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom