Pages

Jumatatu, Juni 22, 2015

"NIPE NIKUPE ADUI WA MAENDELEO"

Katika safari ya mafanikio, changamoto ni nyingi sana kwani usipokuwa makini unaweza kujikuta umekata tamaa, Binadamu husema nipe kwanza halafu nitakusaidia (rushwa),,,lakini Mungu anasema niamini mimi na kila kitu kitakuwa sawa. Always trust God work hard kuwa na subira never give up.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom