Pages

Jumanne, Juni 02, 2015

UJUMBE WA LEO "Ni vyema kusahau changamoto ulizopitia katika maisha yako"

Katika safari ya maisha tunakutana na changamoto nyingi sana, lakini siku zote unaambiwa yale mabaya uliyokutana nayo ama magumu mengi uliyokumbana nayo katika kutafuta mafanikio, ni vyema kuyasahau yote lakini kumbuka usisahau nini ulijifunza kupitia changamoto hizo, siku zote changamoto ni sehemu ya mafanikio.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom