Pages

Alhamisi, Juni 18, 2015

UJUMBE WA LEO "UKIWA BONDIA USIOGOPE NGUMI ZA USO"

Katika maisha usiogope changamoto kwani sikuzote unapotaka kufanikiwa utakutana na mambo mengi sana katika safari ya mafanikio, ili uweze kutimiza malengo yako ni vyema kuwa jasiri,uwe na hekima busara na pia kamwe usiogope changamoto kumbuka siyo kila mtu atakubali kile unachokifanya, ni vyema ukajikubali mwenyewe kabla hujakubaliwa, jiamini unaweza ongeza juhudi, mshirikishe Mungu bila kukata tamaa.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom